0 Comment
Na Mwandishi wetu SERIKALI wakiwemo wadau mbalimbali wa michezo hasa wa gofu wameombwa kusapoti mashindano ya Lina PG Tour yanayofanyika kila mwaka kwa lengo la kumuenzi mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya wanawake marehemu Lina Nkya. Mashindano hayo ambayo yameandaliwa na familia ya Said Nkya kwa kushirikiana na Chama cha Gofu cha Wanawake... Read More