0 Comment
Mwamvua Mwinyi, Kibaha Aprili 25, 2025 SPIKA wa Bunge na Rais wa 31 wa Muungano wa Mabunge Duniani IPU ,Dkt. Tulia Ackson, amewataka wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kibaha Mjini, mkoani Pwani, kuacha ushindani na makundi ndani ya chama, ambao unaweza kusababisha madhara kwa kutoa upenyo kwa upinzani wakati wa Uchaguzi. Aidha Dkt. Tulia aliwaambia... Read More