0 Comment
Mlezi wa kituo cha Watoto Wetu Tanzania,Gerald Soka akiwashukuru Wazee wastaafu wa TRA waliofika kwenye kituo hicho kutoa msaada wao. Lucas Kaigarula mwanachama wa kundi la Wastaafu wa TRA pia Mratibu wa ziara ya utoaji msaada katika kituo cha kulelea watoto yatima cha Watoto wetu Tanzania kilichopo Mbezi eneo la Goba jijini Dar es Salaam.... Read More