0 Comment
Na Seif Mangwangi,Arusha HATIMAYE Mwendesha mashtaka wa Serikali (DPP), ametoa idhini ya kesi inayomkabili mwekezaji wa vitalu vya uwindaji wa kitalii nchini, Salehe Salim Almamry pamoja na wakili Sheki Mfinanga kesi yao kuanza kusikilizwa katika mahakama kuu kitengo cha rushwa na uhujumu uchumi masjala ndogo Mahakama Kuu kanda ya Arusha. Kufuatia idhini hiyo, huku wakitakiwa... Read More