0 Comment
Mwamvua Mwinyi, Pwani Februari 21, 2025 NAIBU Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Xavier Mrope Daudi, ametoa rai kwa watumishi wa umma kuzingatia maadili na kutumia lugha zenye staha wakati wa kutekeleza majukumu yao ili kufanikisha tija inayokusudiwa na Serikali. Aidha, aliwasihi watumishi kuendana na wakati kwa kukumbatia teknolojia... Read More