0 Comment
Watu watatu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wameuwawa na Jeshi la Polisi Mkoani Kigoma katika barabara ya Heru shingo wilaya Kasulu baada ya Askari polisi wakiwa katika doria ya kubaini,kuzuia na kutanzua uharufu ambapo majambazi hao walikua wanafanya unyang’anyi kwa abiria kwa kufunga barabara. Akiongelea tukio hilo Kaimu Kamanda wa polisi Mkoani Kigoma ACP Iddy... Read More