0 Comment
MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ,leo tarehe 07 Januari 2025 amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Sherehe za Uapisho wa Rais wa Ghana Mhe. John Dramani Mahama. Sherehe hizo za uapisho zimefanyika katika Uwanja wa Independence Square uliopo katika... Read More