0 Comment
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yusuf Masauni amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe wa Saudi Arabia kuhusu Nishati Safi ya Kupikia. Katika Mazungumzo hayo yaliyofanyika Dar es Salaam Ujumbe huo uliambatana pia na Balozi wa Ufalme wa Saudi Arabia nchini Tanzania Mhe. Yahya bin Ahmed Okeish,... Read More