0 Comment
Rwanda imesitisha ushirikiano wake wa kutoa misaada na Ubelgiji, kufuatia ukosoaji wa Brussels wa kuhusika kwa Kigali katika mzozo unaoendelea mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Ubelgiji inaishutumu Rwanda kwa kuhujumu utimilifu wa ardhi ya DRC kwa kuwaunga mkono waasi wa M23, ambao wameteka miji miwili mikubwa mashariki mwa nchi hiyo katika wiki... Read More