0 Comment
NA BELINDA JOSEPH, RUVUMA. Tamasha la Kumbukizi ya Vita vya Majimaji linatarajiwa kufanyika kuanzia tarehe 23 hadi 27 Februari 2025, na litahusisha shughuli mbalimbali za kiutamaduni na kihistoria zinazolenga kuenzi mashujaa waliopigana vita hivyo, Tamasha hilo litafanyika mkoani Ruvuma, ambapo wananchi watapata fursa ya kujifunza kuhusu historia ya vita vya Majimaji na umuhimu wa utamaduni... Read More