0 Comment
Mahakama moja katika mkoa wa Wakayama uliopo magharibi mwa Japani imemhukumu kifungo cha miaka 10 jela mwanaume mmoja ambaye alirusha kilipuzi kilichotengenezwa kwa mikono karibu na Waziri Mkuu wa wakati huo Kishida Fumio. Kimura Ryuji alishtakiwa kwa kuwajeruhi watu wawili aliporusha kilipuzi. Kishida alikuwa akitembelea bandari katika mji wa Wakayama mnamo Aprili 2023 ili kufanya... Read More