0 Comment
Meneja wa NSSF Mkoa wa Kinondoni, Bw. Large Materu ametoa wito kwa wajasiriamali kuendelea kujiunga na kujiwekea akiba katika Mfuko ili waweze kunufaika na mafao yanayotolewa yakiwemo ya uzee, uzazi na matibabu. Alitoa wito huo wakati akiongoza utoaji wa elimu ya hifadhi ya jamii kwa viongozi wa masoko na baadaye wafanyakazi wa NSSF waliweka kambi... Read More