0 Comment
MAMLAKA ya Masoko ya Mitaji na Dhamana imetoa pongezi kwa Bodi, Menejimenti na Wafanyakazi wa benki ya CRDB kwa kutupatia furaha kubwa katika sekta ya masoko ya mitaji, kwa kuwa mauzo ya hatifungani ya Miundombinu ya Samia yamepata mafanikio ya asilimia 215.4, ambapo kiasi cha Sh.bilioni 323.09 kimepatikana ikilinganishwa na Sh.bilioni 150 zilizopangwa kupatikana. Aidha,... Read More