0 Comment
Tume huru ya Taifa ya uchaguzi imewataka mawakala wa vyama vya siasa kutoingilia majukumu ya watendaji wa daftari la Kudumu la wapigakura wakati wa utekelezaji wa zoezi la uboreshaji wa taarifa za wapigakura kwenye vituo vya uandikishaji. Rai hiyo imetolewa na Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya uchaguzi Jaji Mstaafu wa Mahakama ya rufani... Read More