0 Comment
Na Mwandishi wetu, Mirerani MWENYEKITI mpya wa Mamlaka ya Mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, Hans Nkya amewataka wajumbe wa mamlaka hiyo kumpa ushirikiano wa kutosha ili waweze kuyapatia majawabu matatizo ya jamii inayowazunguka. Nkya ameyasema hayo wakati akitoa hotuba yake ya mwanzo ya shukurani mara baada ya wajumbe wote 35 wa mamlaka... Read More