0 Comment
Balaza la Halmashauri ya wilaya ya Geita limesema kwa asilimia 95 limetekeleza ilani ya chama cha mapinduzi katika kukamilisha miradi mbalimbali ambayo inaendelea kujengwa na iliyokamilika katika halmashsuri hiyo . Hayo yameelezwa na Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo , Bi. Khadija Said wakati wa uwasilishaji taarifa ya utekelezaji shughuli za maendeleo ngazi ya kata kwa... Read More