0 Comment
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mkoa wa Njombe imelazimika kugeuza gari kuwa ofisi baada ya kuwafuata Walipakodi katika kijiji cha Ukalawa wilaya ya Njombe vijijini Jimbo la Lupembe umbali wa Km 75.9 kutoka Njombe mjini kwa lengo la kuwapelekea huduma karibu na maeneo yao. Akizungumza wakati wa zoezi hilo Afisa Msimamizi wa Kodi mkoa... Read More