0 Comment
Rais wa zamani wa Brazil Jair Bolsonaro ameshtakiwa na waendesha mashtaka kwa madai ya njama ya mapinduzi ya kumtilia sumu mrithi wake. Katika jaribio la kusalia madarakani baada ya kushindwa katika uchaguzi wa 2022, mwanasiasa huyo wa mrengo wa kulia alidaiwa kuhusika katika mpango wa kumuwekea sumu Rais wa sasa Luiz Inacio Lula da Silva,na... Read More