0 Comment
Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeanza kuwabana wamiliki wote wa ardhi wasiolipa kodi ya pango la ardhi sambamba na kutoendeleza maeneo wanayomiliki. Wakiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa sharti la kulipa kodi na kuendeleza kwa wamiliki wa ardhi Mkoa wa Pwani, Timu maalum ya ukaguzi kutoka Wizara ya Ardhi Nyumba na... Read More