Benki ya Absa Tanzania imezindua bidhaa mpya, Akaunti ya Akiba ya Kikundi, inayolenga kuwawezesha watu wanaokusudia kufikia malengo ya kifedha ya pamoja kuweza kuweka akiba na kuwekeza. Read More
Watumishi 91 waliopata ajira mpya Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) na waliohamia 11 wametakiwa kutoa huduma bora kwa wananchi wanaofika Hospitali hapo. Akizungumza leo katika ufunguzi wa mafunzo elekezi kwa watumishi hao, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa MNH, Dkt. Julieth Magandi amewataka watumishi kutoa huduma bora zaidi kwa wananchi ambao hufika hospitalini hapo kwa... Read More
NA VICTOR MASANGU,KIBAHA Halmashauri ya mji Kibaha imepitisha mpango wa bajeti wa jumla ya kiasi cha shilingi bilioni 57.5 ya Halmashauri kwa kipindi cha mwaka wa fedha wa 2025 hadi 2026 ambayo itakwenda kutumika katika matumizi ya kawaida pamoja na kutekeleza miradi mbali mbali ya maendeleo sambamba na kutatua changamoto zinazowakabili a wananchi. Akisoma taarifa... Read More
Kampuni ya Al Mansour Auto EA Tanzania, ambao ni wauzaji na wasambazaji wa magari aina ya ISUZU nchini imezindua maonesho ya siku ya tatu ya magari hayo jijini Dodoma ikilenga kuboresha sekta ya usafirishaji na uchukuzi nchini kwa kutambulisha teknolojia za kisasa kwa wadau mbalimbali wa sekta hiyo muhimu kiuchumi. Akizungumza kwenye hafla fupi ya... Read More
WAFUNGWA WALIOMALIZA VIFUNGO VYAO WATUHUMIWA KWA WIZI WA MIFUGO GEITA. Jeshi la Polisi Mkoani Geita limesema litaendelea kukabiliana na changamoto ya wimbi la wizi wa mifugo katika maeneo mbalimbali ya Mkoa huo ambapo Jeshi la Polisi limesema wizi huo unachangiwa na Baadhi ya wafungwa ambao wamekamilisha vifungo vyao Gerezani na kurudi uraiani. Hayo... Read More
Mkuu wa Mkoa wa Singida Halima Dendegu akizungumza na viongozi wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) mara baada ya kufungua Kliniki ya Samia ya kutatua changamoto za Walimu katika Kliniki iliyofanyika Singida. Walimu wakiwa katika Kliniki ya kutatua changamoto yao iliyoratibiwa na CWT kwa kushirikiana na Serikali. Baadhi ya walimu wakipata huduma katika dawati la... Read More
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania February 13, 2025,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya. The post Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 13, 2025 first appeared on Millard Ayo.
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam February 13, 2025, nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania. The post Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo February 13, 2025 first appeared on Millard Ayo.
Na Munir Shemweta, WANMM ARUSHA Mawakala wa Milki nchini wametakiwa kujisajili katika mfumo wa Wizara ya Ardhi ili kuingia kwenye mfumo rasmi utakaowezesha kutambulika. Hayo yameelezwa leo tarehe 12 Februari 2025 na Mratibu wa Mjadala kuhusu Utambuzi na Usajili wa Wadau wa Sekta ya Milki Bi. Nuru Kimbe, mjadala uliofanyika mkoani Arusha. Amesema, ni... Read More
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akizungumza na Balozi wa Algeria nchini Tanzania, Mhe. Ahmed Djellal, ambaye alifika ofisini kwa Balozi Nchimbi, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar Es Salaam, kwa ajili ya kuaga, leo Jumatano tarehe 12 Februari 2025. Katibu Mkuu wa Chama... Read More