0 Comment
Mbunge wa Iramba Mashariki Mhe. Francis Mtinga ametoa wito kwa vijana, wanawake na watu wenye ulevamavu wilayani Mkalama kutumia vizuri mikopo wanayopewa kwa kuwekeza katika biashara zenye tija ili waweze kujikwamua kiuchumia pamoja na kurejesha mikopo hiyo kwa wakati. Wito huo ameutoa Februari 11,2025 wakati wa hafla ya utoaji mikopo kwa vikundi vya Wanawake, Vijana... Read More