0 Comment
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiondoa pazia kuweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Kituo cha Kisasa cha Ukaguzi wa Vyombo vya Moto Dole Kwasilva, Wilaya ya Magharibi “A” Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika leo 11-2-2025. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi... Read More