0 Comment
Na Mwamvua Mwinyi, BAHIFebruari 10, 2025 WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais, TAMISEMI, Muhammed Mchengerwa ametoa wito kwa waandishi wa habari nchini kujitokeza kupambania tuzo mbalimbali zinazotolewa, kwani ni fursa inayowatambulisha ufanisi kwenye umma na inaimarisha utendaji wa kazi zao. Alitoa wito huo wakati akikabidhi tuzo kwa waandishi wa habari mahiri 15 kutoka mikoa mbalimbali,... Read More