0 Comment
MKUU wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, amewataka wakuu wa shule za sekondari wilayani humo, kufanya kazi kwa ushirikiano, weredi, busara, hekima na kusimamia maadili ya wanafunzi shuleni ili kuinua taaluma na ufaulu mzuri. Aidha amesema katika kuelekea Uchaguzi Mkuu mwaka huu, jukumu kubwa la walimu ni kuhakikisha ufaulu unaongezeka kwani wazazi wanahitaji matokeo... Read More