0 Comment
Na Said Mwishehe,Michuzi TV MKURUGENZI Mkuu wa Tume ya Ushindani(FCC)William Erio amesema moja ya jukumu la tume hiyo ni kudhibiti bidhaa bandia na kwamba Serikali ya Awamu ya Sita inafanya kazi kubwa ya kuvuta wawekezaji hivyo kuwepo na mazingira salama ya biashara yenye ushindani wa haki ni muhimu. Akizungumza na Wahariri wa vyombo... Read More