0 Comment
Wataalamu wa takwimu wametakiwa kuendelea kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi na ufasaha kwa kuwa uwepo wa takwimu sahihi ni muhimu katika kutatua matatizo yanayolikabili taifa. Wito huo umetolewa na Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Mhe. Stanslaus Nyongo (Mb), leo tarehe 7 Julai, 2025, wakati akifungua kikao kazi cha wataalamu wa... Read More