0 Comment
Waziri wa Afya, Jenista Mhagama, amesema ujenzi wa ghala la kuhifadhi bidhaa za afya la Bohari ya Dawa Kanda ya Dodoma lenye ukubwa wa mita za mraba 7,200, litakalogharimu zaidi ya Tsh. bilioni 23.7 umefikia 95%. Mhagama amesema hayo leo February 6, 2025 wakati akikagua ujenzi wa ghala hilo, Jijini Dodoma ambapo amesema ghala hilo... Read More