0 Comment
NA. MWANDISHI WETU – LUDEWA Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI, Mheshimiwa Dkt. Elibariki Kingu ametoa pongezi kwa Mkoa wa Njombe kwa kushirikiana na Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu pamoja na TACAIDS kwa kuhakikisha watu wanaoishi na virusi vya UKIMWI kuwawezesha kushiriki shughuli za kiuchumi.... Read More