0 Comment
Watumishi wa Afya Halmashauri ya Mji wa Njombe wametakiwa kutowatoza fedha wagonjwa kwa ajili ya kulipia gari la kubebea wagonjwa kwani tayari Serikali imeshagharamia hivyo wagonjwa wanatakiwa kubebwa bure. Kauli hiyo imetolewa Disemba 8,2024 na Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Mji wa Njombe Jabir Juma wakati wa hafla ya kukabidhi gari la kubeba wagonjwa katika... Read More