0 Comment
NA.MWANDISHI WETU Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI, imetembelea miradi mbalimbali mkoani Njombe leo tarehe 09 Januari, 2025. Kamati hiyo imetembelea kituo cha Afya cha Njombe Mjini kilichopo katika Halmashauri ya mji wa Njombe kwa lengo la kujionea huduma zinazotolewa katika kituo hicho ikiwemo huduma za upimaji UKIMWI, pamoja na... Read More