0 Comment
Naibu Waziri Waziri Wizara ya Maji, Kundo Mathew akizungumza leo Januari 07, 2025 alipokutana na Mamemeja wa Mamlaka ya Maji safi Dawasa Mkoani Kibaha na kuwasisitiza kujenga uhusiano mzuri na wananchi ambao ndiyo wateja wao wakuu. Mkuu wa Mkoa wa Pwani Abubakari Kunenge akisalimiana na Naibu Waziri wa Maji Kundo Mathew Ofisini kwake. Kutoka kushoto... Read More