0 Comment
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Augustino Ignace Senga akipokea zawadi mbalimbali za ofisi ikiwa ni pamoja na kalenda ya mwaka 2025 kutoka kwa Meneja wa tawi la benki ya NMB wilaya ya Mbozi, Greyson John Komba akiwa ameambatana na Mdhibiti Ubora wa Tawi, Fausta Lusekelo , walipotembelea ofisi... Read More