0 Comment
Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Dkt. John Jingu ameipongeza Hospitali ya Taifa Muhimbili kutokana na jinsi ilivyojipanga kila siku kutoa huduma za dharura zinazopokelewa kutoka Hospitali mbalimbali nchini, watu binafsi na wale wanaoletwa na Jeshi la Polisi na kupata huduma kupitia Idara ya Tiba na Magonjwa ya Dharura pamoja na Kitengo cha Dharura kwa Kina... Read More