0 Comment
-Mitungi 19,530 kuuzwa kwa bei ya ruzuku kwa lengo la kuhamasisha na kuchochea matumizi ya nishati safi ya kupikia Chamwino – Dodoma Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umeingia mkataba na mtoa huduma kampuni ya Lake Gas Ltd ambaye atahudumia Mkoa wa Dodoma kwa kuuza kwa bei ya ruzuku mitungi ya gesi ya kilo 6 pamoja... Read More