0 Comment
Katika kuelekea maadhimisho ya miaka 61 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kesho, Aprili 26, wananchi wametakiwa kuuenzi Muungano huo kwa kuepuka vitendo vyovyote vinavyoweza kuhatarisha amani na mshikamano uliodumu tangu enzi za mababu, hadi kizazi cha sasa na kijacho. Wito huo umetolewa leo Aprili 25 na Katibu Tawala wa Wilaya ya Songea, Mtela Mwampamba,... Read More