0 Comment
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Dotto Biteko, amefanya ziara ya kutembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa kituo kikuu cha kushindilia gesi asilia (CNG) kilichopo Ubungo, Dar es Salaam . Akizungumza katika ziara hiyo leo Januari 9, 2025 Jijini Dar es Salaam, Dkt. Biteko ameridhishwa na kasi... Read More