0 Comment
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki ambaye pia ni Mwenyekiti wa kamati ya miradi ya Wizara, Balozi Said Shaib Mussa, ametembelea majengo ya Ubalozi wa Tanzania nchini Malawi na kukagua kiwanja cha Ubalozi huo jijini Lilongwe. Katika ziara hiyo, Balozi Mussa aliwaambia Watumishi wa Ubalozi huo kuwa Serikali... Read More