0 Comment
Utawala wa Rais wa Marekani Donald Trump ulisema Jumapili kwamba unaondoa nyadhifa 2,000 katika Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani (USAID) na kuwaweka karibu wafanyakazi wengine wote kwenye likizo ya utawala. Kulingana na vyanzo vingi vya habari, barua pepe imetumwa kwa wafanyikazi wa USAID ikisema kwamba “hadi 11:59 p.m. EST Jumapili, Februari 23, 2025,... Read More