0 Comment
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene (Mb) amezitaka Taasisi za Umma ambazo bado zina kiwango kidogo cha utekelezaji wa Jitihada za Serikali Mtandao kuongeza kasi ya matumizi ya TEHAMA ili kuleta tija katika utendaji kazi wao. Waziri amesema hayo leo wakati wa kufunga Kikao... Read More