0 Comment
Na Mwandishi Wetu Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa taasisi za umma na binafsi kuiga mfano wa Benki ya NMB katika kuwekeza kwenye sekta ya elimu, akieleza kuwa ufadhili huo una faida kubwa kwa maendeleo ya taifa. Waziri Mkuu alitoa kauli hiyo jana jijini Dar es Salaam alipotembelea banda la NMB katika Maadhimisho ya... Read More