0 Comment
Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA), Dkt. Anthony Diallo, amezihimiza taasisi za kilimo nchini kubadili mbinu za utendaji kwa kuachana na mazoea na badala yake kuimarisha matumizi ya utaalamu katika kuwawezesha wakulima kuongeza tija na kuendesha kilimo cha biashara. Dkt. Diallo alitoa wito huo tarehe 19 Februari 2025, katika siku... Read More