0 Comment
Na FARIDA MANGUBE, MOROGORO Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Abdallah Ulega, ametembelea na kukagua barabara ya Malinyi mkoani Morogoro ambayo imeharibika kutokana na maji ya Mto Furuwa kuvunja kingo na kupita juu ya barabara, hali iliyosababisha kukatika kwa mawasiliano kati ya kijiji cha Misegese na Malinyi mjini. Ziara hiyo ya siku moja imefanyika kufuatia malalamiko ya... Read More