0 Comment
Mkuu wa Mkoa wa Lindi Zainab Telack amekutana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje ya Norway Mhe.Andrea Motzfeldt Kravik na ujumbe wake akiwemo Balozi wa Norway Nchini Tanzania Mhe.Toni Tinnes pamoja na Equinor na Shell na wasimamizi wa mradi huo TPDC leo Januari 10,2025. Telack amemueleza Naibu Waziri huyo wa Mambo ya nje wa... Read More