0 Comment
Madereva pikipiki maarufu bodaboda Mkoani Kigoma wamelazimika kuandamana na kufunga barabara katika eneo la Mwanga Kigoma Ujiji kwa madai ya Jeshi la Polisi kutumia nguvu kuwakamata lakini pia wakiwatuhumu baadhi ya askari kuchukua fedha bila ya makosa yoyote ambapo bodaboda wanadai kua ni manyanyaso kwao. Leo 09 January 2025 ni siku iliyoanza kwa utulivu lakini... Read More