0 Comment
Na Mwandishi Wetu Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu Tanzania, Dkt. Mustapher Siyani, amepongeza ushirikiano unaondelea baina ya Muhimili wa Mahakama na Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) ambao umeelezwa kuwa ni muhimu katika kufanikisha utekelezaji wa majukumu ya Taasisi hizo mbili za serikali. Ametoa pongezi hizo wakati akifungua mafunzo kwa Watendaji wa Mahakama Kanda ya Kati... Read More