0 Comment
Kampuni ya Mawasiliano Tanzania (Yas)imeendelea kutambulisha mabadiliko yaliyotokea katika kampuni hiyo pamoja na huduma zake kwa kanda ya Kaskazini baada ya kufanya mabadiliko ya Chapa yake mya ya Yas ambayo awali ilijulikana kama Tigo. Akiongea na waandishi wa habari jijini Arusha, Afisa Mkuu wa Biashara Yas,Isack Nchumba alisema tangu mabadiliko hayo yafanyike Novemba 26,2024 kampuni... Read More