0 Comment
Shirika la Afya Duniani, WHO limetoa ripoti kuhusu mlipuko wa ugonjwa unaoshukiwa kuwa ni wa virusi vya Marburg katika mkoa wa Kagera “Tunafahamu maambukizi tisa hadi sasa, ikiwa ni pamoja na watu 8 ambao wamepoteza maisha. Tungetarajia maambukizi zaidi katika siku zijazo kadiri ufuatiliaji wa magonjwa unavyoendelea,” Mkurugenzi Mkuu wa WHO Tedros Adhanom amesema katika... Read More