0 Comment
Bayern Munich wanakaribia kumsajili mshambuliaji wa Chelsea Christopher Nkunku katika kipindi hiki cha usajili wa majira ya baridi. Mwandishi wa habari Florian Plettenberg alisema kwenye akaunti yake kwenye jukwaa la X: “Bayern Munich tayari imefikia makubaliano kamili ya mdomo na Nkunku kwa mkataba wa muda mrefu, na masharti yote ya kibinafsi pia yamekubaliwa. Aliongeza: “Nkunku... Read More