0 Comment
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan anatarajia kuwa mgeni rasmi katika Mkutano wa tatu wa nchi zinazozalisha kahawa Afrika (G25 African Coffee Summit) uliopangwa kufanyika February 21 hadi 22,mwaka huu kwenye ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. Hayo yamesemwa leo Januari 14,2025 jijini Dodoma na... Read More