0 Comment
Na Mwandishi Wetu NAIBU Waziri Mkuu, Dk Doto Biteko anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye maadhimisho ya miaka 60 tangu kuanzishwa kwa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) yanayotarajiwa kufanyika mwanzoni mwa wiki ijayo. Akizungumza na waandishi wa habari jana, Mkuu wa chuo hicho, Profesa Edda Lwoga, alisema kuwa CBE iliyoanzishwa mwaka 1965, kufuatia makubaliano... Read More